Huku ulimwengu ukihimizwa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kukumbatia nishati safi makala haya yanaelezea umuhimu wa kutumia nishati safi kwani nishati chafu ikiwemo kuni, mkaa, mkaa wa mawe , mafuta taa imetajwa kuathiri mazingira na afya ya binadamu.
Hapa tumeongea na wataalamu ambao wameelezea kwa undani umuhimu wa nishati safi.