Listen

Description

Moruo King ni moja ya a.k.a nyingi za mgeni wangu wa leo. Mpenzi kindakindaki wa Hip hop, Reggae, Liverpool, Simba na Land rovers. Tumeyazungumza yote haya katika kipindi hiki. Mechi yake pendwa ya Liverpool ya muda wote, Mawazo yake juu ya Mtendaji mkuu wa Simba Sc Bi Barbara Gonzales na kwa nini Sadio Mane ilibidi aondoke Liverpool ni machache kati ya mengi tuliyoyazungumza. Ni matarajio yangu utayafurahia mazungumzo haya.