Imani yake ni kwamba Mungu Ni mmoja tu na Wa milele; anajua na kuweza yote; ndiye aliyeumba mbingu na dunia akamteua ibrahimu kuwa baba wa Taifa la Mungu. Kitabu cha Biblia Cha Waebrania Sura Ya Kumi na Tatu Aya Ya Pili, inazungumzia juu ya ziara hii Hasa Kwa Ibrahimu na inatambua asili yake ya ukarimu kwa njia ifuatayo – "msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa kufanya hivyo wengine wamewakaribisha wajumbe wa mbinguni pasipo kujua.