Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika - Nov 8, 2020.

Mimi ni kiumbe kipya, niliyeitwa kupokea baraka, niliyewezeshwa kufanikiwa katika kila jambo ninalolifanya! Hakuna ukame, kudumaa, ukosefu au kutokuwa na matunda katika maisha yangu, kwa maana nimechaguliwa na kuteuliwa kwa ajili ya maisha ya sifa, furaha, ubora, ushindi, na utukufu katika Kristo Yesu. Nimefanyika kuwa mchukuzi wa baraka za Mungu na mng’ao wa utukufu Wake.

Haleluya!