Listen

Description

Alifanyika dhambi yeye asiyejua dhambi...
Alichukua asili yetu na kuwa mbadala wetu ili tuchukue asili yake na kuchukua haki yake...
Ametufanya kuwa Wana wa Mungu, wenye asili na uzima wa Mungu...
Tafakari Kweli hii na tembea katika Nuru hii.