Listen

Description

Bwana Yesu ni Kila Kitu.
Bwana Yesu ni uzima wa milele, yeye ni Mungu wa Kweli.
Mfahamu zaidi Yesu na utembee kwenye uhalisi Kweli ya neno lake na mapenzi yake kwako.
Kristo ndani Yako ni tumaini la Utukufu na ushindi mkuu!
Jiandae kushiriki mkutano mkubwa wa uponyaji unaitwa "Mito ya Uponyaji".