Listen

Description

Wewe umetokana na Mungu, na neno lake ndio asili yako, kwa sababu neno lake ni fikra zake, mtazamo wake, mapenzi yake. Tambua asili hii na tembea kwenye udhihirisho wa asili hii kila Siku.
Hii ni rhapsodi ya Uhakika toleo la wasomaji wa awali, umri rika kati ya miaka 6 hadi 12.