Listen

Description

Hakuna baraka unayotaka ambayo haipo ndani. Kama upo ndani ya Kristo, elewa kwamba umebarikiwa kwa Baraka zote za rohoni.
Wewe ni kifurushi cha baraka ni kinachodhihirika kila Mahali.