Listen

Description

Yesu ndio kila kitu katika maisha haya. Yeye ndio ukamilifu wa maisha, utoshelevu maisha.
Ishi kwa ajili yake, mgundue katika namna ya tofauti na ishi katika Nuru ya Kweli hii!
Dhihirisha Upendo wako kwake kwa matendo na vitendo.