Rhapsodi ya Uhakika - Oct 12, 2020
Ghasia hazitasikika tena katika nchi yako, wala ukiwa au uharibifu ndani ya mipaka yako, bali utaziita kuta zako Wokovu na malango yako Sifa (Isaya 60:18 tolea la “AMPC”).
Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.
pakua rhapsodi app leo kupitia link hii.
https://t.co/GFr1tICObJ
Jiunge na mtandao wa washawishi wa Rhapsodi Ulimwenguni kote kwa kubofya linki hapo chini:
Rhapsody Influencer Network
https://bit.ly/2CnQ28u