Rhapsodi ya Uhakika, Dec 02, 2020.
Kuna Wakristo ambao uzoefu wao katika maisha ni kinyume cha imani yao na Neno la Mungu. Kwa mfano, wanaweza kuwa wanaamini kwamba kama Wakristo, hawapaswi kukandamizwa na Shetani, ila wanapitia uzoefu wa mkandamizo wa kishetani na hila. Wanaamini kuwa hawapaswi kuugua au kuwa na madhoofu katika miili yao, ili hali ni vigumu sana kwao kuwa na uzoefu wa afya njema. Kuna kitu hakipo sawa.