Fanya yote yanayowezekana kwa ajili ya Bwana. Kama Kijana (teenager) ishi kwa ajili ya ushuhuda wa Bwana Yesu. Maisha yako yaakisi utukufu, hekima na heshima yake. Jifunze zaidi kupitia TeeVo hii ya leo. Waambie wengine pia, wahamasishe wengine kung'aa na kuwaka kwa ajili ya Kristo Yesu.