Listen

Description

Roho Mtakatifu anajua kilichobora kwa ajili yako na kwa ajili ya kila mtu ulimwenguni. Anajua kila kitu, anaweza kukuongoza kwenye kila nyanja ya maisha!
Yeye ni Bwana wa mikakati, mshauri wa Ajabu. Maarifa na enzi yote ni Yake...