Je, unajua ni Kipawa na zawadi kutoka kwa Mungu kwa ulimwengu na sio kwa Wakristo!
Kipawa hiki kinakuwa asili yako na uhalisi wako pindi tu unapozaliwa mara ya pili.
Kipawa hiki kinakufanya mtawala na hodari katika maisha pale kitambua na kutembea katika Nuru yake.
Jifunze zaidi kuhusu Kipawa hiki.