Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Wewe ni makao ya Mungu, maskani yake. Wewe ni mwakilishi wa Mungu katika ulimwengu wako.
Dhihirisha ubora na ukuu wake leo, mtangaze Bwana Yesu kila Mahali ulipo au uendapo.
Acha ulimwengu umwone Kristo ndani Yako na kupitia wewe kuanzia leo.