Listen

Description

Duniani Mnayo dhiki lakini Jipeni Moyo, mimi Nimeushinda ulimwengu. Yesu ameushinda ulimwengu kwa ajili yako, changamka, kuwa imara.
Tembea na ishi maisha ya Ushindi.
Ni jadi yako na haki Yako.