Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika - Oct 19, 2020.

Ukristo si kuhusiana na kukazana kuingia uweponi mwa Mungu; Ukristo ni kubeba uwepo wa Mungu. Wewe ni hema Yake ya ushuhuda iishiyo. Unapofika popote, uwepo wa Mungu hufika! Wewe ndiwe “uwepo.” Haleluya!