Rhapsodi ya Uhakika - Oct 14, 2020.
Matendo 3:16 Na kwa imani katika jina lake, jina lake limemtia nguvu mtu huyu mnayemwona na kumjua; na imani ile iliyo kwake yeye imempatia huyu uzima huu mkamilifu mbele yenu ninyi nyote.
Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.
pakua rhapsodi app leo kupitia link hii.
https://t.co/GFr1tICObJ
Jiunge na mtandao wa washawishi wa Rhapsodi Ulimwenguni kote kwa kubofya linki hapo chini:
Rhapsody Influencer Network
https://bit.ly/2CnQ28u