Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika. Nov 14, 2020. 


Mbarikiwa Baba, ninakushukuru kwa Neno Lako ambalo linafunua utambulisho wangu, urithi na uweza katika Kristo! Mapenzi Yako kwa ajili ya maisha yangu yamefunuliwa katika roho yangu na ninaishi kila siku kuyatimiza mapenzi na makusudi Yako kwa ajili ya maisha yangu, nikienenda katika njia Ulizoziandaa tayari kwa ajili yangu, katika Jina la Yesu. Amina.