Taswira halisi ya wewe ni Nani inapatikana katika neno la Mungu.
Mungu anataka ujue yote aliyopanga na kuandaa kwa ajili maisha Yako ya ushindi na ukuu!
Amekuchagua kipekee kwa ajili ya utukufu wake, wewe ni kazi ya mikono yake! Kazi njema, yenye baraka na thamani mbele zake.
Hii ni rhapsodi ya Uhakika toleo la Vijana maarufu kama TeeVo.