Rhapsodi ya Uhakika- Npov 21, 2020.
Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu,
mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye (Mathayo 17:5).