Listen

Description

Wewe ni nuru ya Ulimwengu, acha nuru yako iangaze na kung'aa sana. Tumia fursa ambazo Mungu amekupa kupeleka neno lake kila mahali. Usionee haya injili, ungana nasi kusambaza nakala hizi kila mahali mkoa ndani ya Tanzania.
Changia leo uchapishaji na usambazaji wa rhapsodi kupitia lipa namba hii ya vodacom: 8177098.