Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika, Oct 24, 2020.


Ukristo ni udhihirisho wa nje wa utendaji kazi wa Neno la Mungu ndani roho ya mwanadamu. Kama Mkristo, wewe ndiwe taswira ya Kristo, kila hatua unayoichukua inapaswa kuwa ni udhihirisho wa uzima wa Kiungu ndani yako. Hivyo ndivyo namna Yesu alivyoishi pale Alipokuwa akienenda katika dunia. Alikuwa ni udhihirisho wa Mungu; udhihirisho wa maisha ya Kiungu