Rhapsodi ya Uhakika, Nov 17, 2020.
Ninaomba Mungu kwamba wototo wote wa
Mungu wakaelewe andiko hilo hapa juu lina
nguvu namna gani! Linasema tumekombolewa kutoka
katika utawala wa giza na kuhamishiwa katika Ufalme
wa Mwana wa pendo Lake. Hapo ndipo ulipo sasa!
Lakini Mkristo asiyekuwa na uelewa huu atakuwa
akiishi maisha ya giza, akifikiri mawazo ya giza, ambako
tayari amekwisha ondolewa.
Giza huwakilisha dhambi,