Listen

Description

Neno la Mungu linauwezo wa kujenga tabia za kiungu ndani Yako kama utalisikia, utaliamini, Ulitafakari na kulifanya kuwa maisha Yako ya kila siku.
Wekeza kwenye neno la Mungu na hakika utakuwa na maisha ya ushindi Daima.