Elewa kwamba Kanisa la Yesu Kristo hapa duniani ni sehemu ya Ufalme wa Mungu na hivyo linapaswa kufanya kazi zake kama Ufalme zaidi kuliko taasisi.
Fahamu kanuni za Ufalme ambao wewe umezaliwa humo na tembea katika ubora na utukufu wa ufalme huu!
Fikra na ufahamu wa ufalme ni dhana halisi unayopaswa kutembea ndani yake kila siku.