Naye alipokwisha kufanya shauri na
watu, akawaweka wale watakaomwimbia
BWANA, na kumsifu katika uzuri wa
utakatifu, wakitoka mbele ya jeshi, na
kusema, Mshukuruni BWANA; kwa maana
fadhili zake ni za milele
(2 Mambo Ya Nyakati 20:21).