Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika, Nov 14, 2020.


Sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kisha ukathibitika kwetu na wale waliosikia


(Waebrania 2:3).


Ninamtumikia Bwana katika roho na kweli. Pendo Lake daima na kwa uendelevu linaendelea kudhihirika kupitia mimi kuwamiminikia wengine. Hakuna nafasi kwa ajili ya chuki, uchungu, wivu, au majivuno ndani yangu, kwa maana pendo la Mungu limemiminwa kwa wingi katika moyo wangu na Roho Mtakatifu. Na pendo hilo lanibidisha kuihubiri Injili na kuwafikia waliopotea kwa upendo, kuwageuza kutoka gizani na kuwaleta kwa Kristo. Amina.