Rhapsodi ya Uhakika, Nov 25. 2020
Unachohitaji ni maarifa sahihi na ya kutosha ya Neno la Mungu; hiki ndicho hukuweka juu maishani. Wengi hawana tatizo la imani, kwa maana kila mmoja wetu anayo imani (Warumi 12:3). Suala hapa ni ukosefu wao wa uelewa wa wao ni nani na nini ni milki yao katika Kristo.