Listen

Description

Tumeitiwa maisha ya haki na usawa ndani ya Kristo Yesu. Kama mti uliopandwa kando kando ya vijito vya maji ndivyo maisha yetu ndani ya Kristo yanapaswa kuwa.
Ishi ndani ya neno la Mungu, tembea kati uzuri wa utakatifu.