Pro 3:1 Mwanangu, usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike amri zangu. Pro 3:2 Maana zitakuongezea wingi wa siku. Na miaka ya uzima, na amani.
Ni hamasa ya Mungu kwamba uwe afya njema siku zote na uishi maisha marefu yenye kumpa sifa na utukufu. Chagua kuishi sawasawa na neno lake kwa ajili yako. Tumia kinywa chako kurefusha maisha yako.