Tambua Siri ya kuishi katika afya endelevu, mbali na magonjwa, maradhi na maambukizi!
Afya njema ni haki ya kila Mkristo na unapaswa kuishika na kutembea katika afya hii!
Moyo wa Shukrani ni kanuni kutembea kwenye afya ya Kiungu.
Sikiliza maombezi kwa ajili ya wale wanaosumbuliwa na changamoto za kiafya..