Fahamu mamlaka uliyopewa ndani ya Jina la Yesu na itumie kwa ajili ya maisha ushindi, utukufu na ubora kila siku iitwayo leo.
Pia unaweza kuchangia uchapishaji na usambazaji wa nakala hizi kila mahali ndani ya Tanzania kupitia lipa namba hii; 8177098.
Mungu akubariki sana.