Rhapsodi ya Uhakika - Dec 1, 2020
Ukiri
Mimi nimekufa kwa ulimwengu na ulimwengu umekufa kwangu. Hivyo, ninaweka umakini wangu katika Bwana na Ufalme Wake wa milele, nikimpenda Yeye kwa moyo wangu wote. Mambo ya Roho ni ya muhimu sana kwangu kuliko kitu chochote katika ulimwengu huu. Ninaishi kila siku ingali umakini wangu ukiwa katika Injili, kuihubiri na kuieneza kote ulimwenguni kwa uweza wa Roho Mtakatifu. Amina!*