Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Mpe Bwana sifa na Shukrani, kwa ukuu wake na ubora, kwa fadhili zake na rehema! Yeye ni Mungu mkuu, muumba wa mbingu na nchi!
Anastahili sifa, heshima, utukufu na adhama. Mungu wetu ni Bwana na hakuna kama yeye.