Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Wewe ni kazi ya mikono ya Mungu,
Mungu alikundalia maisha Bora kwa kabla ya misingi ya ulimwengu kuwepo.
Anataka utembee katika ubora, utukufu na ukuu kila siku.
Mafanikio, ushindi, afya njema, ustawi na tija ni mpango wake kwa ajili yako.