Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika - Nov 7, 2020.
Col 1:15  naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. Col 1:16  Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake. Col 1:17  Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye. Col 1:18  Naye ndiye kichwa cha mwili, yaani, cha kanisa; naye ni mwanzo, ni mzaliwa wa kwanza katika wafu, ili kwamba awe mtangulizi katika yote. Col 1:19  Kwa kuwa katika yeye ilipendeza utimilifu wote ukae;