Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika, Nov 18, 2020.


Warumi 9:8 inasema, “Yaani, si watoto wa mwili walio watoto wa Mungu, bali watoto wa ile ahadi wanahesabiwa kuwa wazao.” Watoto wa mwili wanaongozwa na hisia zao. Badala ya kuenenda kwa imani, wanaendeshwa tu na kila ambacho wanaweza kuona kwa macho, kusikia, kugusa, kuonja, au kunusa kwa mwili. Lakini Ukristo ni mtembeo wa imani; ni maisha yapitayo hisia.