Listen

Description

Vipi siku ukikutana na maneno Yako, utayapenda na kuyafurahia au utayachukia na kuyakimbia!
Maneno ni vitu, maneno kielelezo chako, cha mawazo, matarajio na mtazamo wako. Maneno Yako ni wewe mwenyewe! Maneno yako yanabeba utu wako!