Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Neno la Mungu li hai, limevuviwa kwa uweza na nguvu ya Roho Mtakatifu! Linaweza kusabibisha mabadiliko na uhalisia wa kile linachosema.
Litafakari na kulitegemea neno kila siku!
Neno la Mungu ndio Uthibitisho Pekee unaohitaji!