Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Jifunze namna ya kutumia neno la Mungu kama Silaha. Uzima na Mauti vipo kwenye nguvu ya Kinywa. Neno ni upanga mkali ukatao pande mbili.
Neno linauwezo wa kuangusha Ngome na kutiisha kila fikra kinzani na injili ya Kristo.
Tumia Silaha hiyo kutunza mwili wako na afya Yako kupitia ukiri wa AFYA ya KIUNGU.