Kwa maana pasipo imani huwezi kumpendeza Mungu.....
Wenye haki wa Mungu wataishi kwa imani na sio kwa kuona, au kuhisi kwa milango ya fahamu ya mwili.