Kimjazacho mtu, ndicho kimtokacho.
Ndani yako kumejaa nini!?
Upendo, amani, haki, upole, hekima, wema!? Au kumejaa chuki, Hasira, ugomvi, husuda!
Jaza kwa wingi neno ndani Yako na litaonekana na kuthibitika kwenye kila jambo linahusu maisha Yako.