Listen

Description

Kitabu hiki kinatoka kila mwezi na kina neno la Kila siku. 
Kinaandikwa na mtumishi wa Mungu Mchungaji Chris Oyakhilome, kwa ajili ya watoto wa umri katika miaka 6 mpaka 12. 
Kinapatikana katika tovuti ya www.rhapsodyofrealities.org 
Ni kitabu sahihi kwa ajili ya kujenga na kumfunza mwanao katika maadili sahihi ya Kikristo sawa sawa na neno la Mungu linavyofundisha. 
Unaweza kudhamini pia usambazaji wa kitabu kwa wanafunzi wa shule za msingi ili kuweza kuwajenga katika njia sahihi iwapasayo kuifuata. 
Wasaliana nasi kwa namba zifuatazo: +255736000999