Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika - Oct 23, 2020.


Kuna sababu tatu za msingi za kwanini unalazimika kuihubiri Injili na kuvuna nafsi kama Mkristo. Kwanza ni imani yako katika Bwana Yesu na Injili Yake tukufu. Sababu ya pili ni upendo wako Kwake na tumaini la kurejea Kwake hivi punde. Sababu ya tatu ni maagizo Yake kwetu ya kuvuna nafsi. Sababu hizi tatu zikusukume kuvuna nafsi.