1 Je! Hekima halii? Ufahamu hatoi sauti yake?
2 Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo.
8 Maneno yote ya kinywa changu yana haki; Hapana hata neno lililopotoka au la ukaidi.
Igundue sauti ya Hekima, ifuuate, itii na utembee kwenye ustawi, mafanikio, ushindi na ubora tele.
Katika toleo la leo Kuna Maombi maalumu kwa yeyote mwenye mgonjwa wa Figo! Pokea uponyaji leo na sambaza uponyaji kwa maelfu wanaohitaji.