Listen

Description

Wewe ni shahidi wa Kristo kwa kizazi Chako....
Wewe balozi wa Kristo, shuhuda wa ufalme na Kweli yake...
Usikae kimya, usinyamaze, usione haya kwa ajili ya Kristo au injili yake!