Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

2Co 6:16  Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. 




Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome.  Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote.  Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.


pakua rhapsodi app leo kupitia link hii.


https://t.co/GFr1tICObJ


Jiunge na mtandao wa washawishi wa Rhapsodi Ulimwenguni kote kwa kubofya linki hapo chini:


Rhapsody Influencer Network


https://bit.ly/2CnQ28u