Neno la Mungu ndio taa ya miguu yako na Nuru ya njia yako. Litakufanya ung'amue hila za adui na namna ya kuzishinda kikamilifu.
Pia unaweza kudhamini uchapishaji na usambazaji wa nakala hizi za rhapsodi ya Uhakika kupitia lipa namba hii:8177098.
Mungu akubariki Sana.