Sisi ni watenda kazi pamoja na Mungu. Tumeitwa kwenye kazi ya Uimesheni, tupeleke habari njema za ufalme kila mahali. Jifunze zaidi na uhamasike kupitia Rhapsodi hii ya Januari 6, 2024.
Unaweza kudhamini uchapishaji na usambazaji wa nakala hizi kupitia lipa namba hii: 817709.